Hodiiiiiii JF je ni amani?

shabiki

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
965
Reaction score
896
Ama baada ya salam mi ni mzima wa afya,
nilikuwa napitapita nikaiona hii nyumba ya wafikiriaji wakuu,nikaipenda,nikaona bora niingie.WENYEJI MPOOOO?!
 
Tupo kwa wingi ila kua makini na uchangiaji wako.
Vinginevyo utapachukuia humu.
Humu ndani hakuna mnyonge kila mtu ni mbabe lol!
 
Kha mbona unantisha unataka niishie mlangoni,tafadhali ucwe chai chungu kwangu!
 
karibu mpaka ndani, chai chungu asikutishe hapa amani tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…