fire fighter
Member
- Jul 7, 2014
- 10
- 1
Hodi jamani naomba mnipokeeeeeeeeee!
Karibu mpaka ndani...
Sijui unatumia kinywaji gani..?? Tuna juisi ya pilipili na nyongo..
karibu sana mpiganaji
Nyongo inatosha
Naogopa Kufwa mie weSawa! Ipo nyongo ya mamba...