Hodiiiiiiiiiii,iiiiii

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
409
Reaction score
135
Wanajamii wote msinibanie, "KARIBU" kwa heshima salamu zangu nawamwagieni pwaaaaa nderemo na vifijo wadada na wamama memba msinibanie ninaitwa masijala nawakaribisha masijala nawapitikana ukiwa unafika ofisi yeyote public au private kama umeajiriwa ukipeleka barua anaambiwa ipeleke kwanza masijala
 

Karibu sana dada Masijala hapa JF,jisikie upo masijala.Kuna barua yangu ya maombi ya kazi usiibanie.
 
Karibu sana bila shaka utatuletea yaliyokuwa masijala maana huko kuna mambo mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…