Jipu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 2,950
- 6,215
habari za jioni wadau. kwanza nianze kwa kuweka wazi kabisa mimi sio mgeni hapa jamvini ila ni mgeni kwa kupitia id hii ya jipu baada ya kupigwa ban account yangu nilioitumia since 2012, nitajirekebisha na kutorudia makosa yaliosababisha kupigwa ban ili tuendelee kujenga hoja kwenye mambo ya msingi katika jamvi hili asante sana.