Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii

Yaani wewe unatukana hata wageni? usione wivu mwenzako kubebwa!

Duuuhhhhhh! Mkuu kweli wewe unastaili kali kweli kweli. Vp mzee ni ban ndo imekulazimu uingie kivingine au? Aisee kweli mods hapa hawana utan hata kiduchu! Let me chungaring my kinywa immediately
 
Sasa jiandae kupata upinzani mzito kutoka kwa wakina ritz rejao mafilili zomba Tume ya Katiba wote hao ni vijana wazee

Angalia unaweza kuta mmoja wahao uliowataja ndie mwenye ID hii inayopiga hodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…