Hodini humu

20 Maker

Member
Joined
May 4, 2019
Posts
44
Reaction score
67
Mimi in mwanachama mpya katika jukwaa hili.Nimependa na nimefurahi kukutanishwa nanyi katika jukwaa hili.Nataraji mtajifunza/nitajifunza mengi kutoka kwangu/kwenu
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Mimi in mwanachama mpya katika jukwaa hili.Nimependa na nimefurahi kukutanishwa nanyi katika jukwaa hili.Nataraji mtajifunza/nitajifunza mengi kutoka kwangu/kwenu
Hebu tuanza kujifunza toka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…