Hodo hodi wanajamvi waungwana

ngorokolo

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
187
Reaction score
241
Mie ni mgeni hapa jamvini nikikosea sitajisikia vibaya kulekebishwa na kupewa maelekezo katika kuchangia hoja mitazamo na maoni mbali mbali, nimalize kwa kuwasalimu wote kila mwana jamvi kwa lugha ya kwao, asanteni
 
karibu sana mkuu, hapa ndio JF habari zote zinanzia hapa kwingine wanaiga tu. kwanza habari yako? kama ni wa 80 uko shikamoo
 
Mkuu kusini kuna shida ya matumizi ya r&l so tuvumilie tu mkuu uwe unafanya masahuhisho kimya kimya
Usikute ata jina lako ni Ngolokoro sema umegeuza.

Karibu sana boss. Tupo pamoja.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…