The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Sep 20, 2011 #21 shosti said: mhhhh mwenzetu mwembamba sana nini mpaka una kibiongo! Click to expand... kwani wenye vibiongo ndo wanakuaje?
shosti said: mhhhh mwenzetu mwembamba sana nini mpaka una kibiongo! Click to expand... kwani wenye vibiongo ndo wanakuaje?
Shantel JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 2,018 Reaction score 1,132 Sep 20, 2011 #22 Yaaani tabasamu tu????
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,580 Sep 20, 2011 #23 The Boss said: sijui kama nimekuelewa lol Click to expand... Hahahha Shemeji, nielewe hivyo hivyo mwaya! ndio, lazima nihakikishe kipo bwana................si naufahamu ugonjwa wa mwenzi wangu?? kwa nini nimnyime haki yake kwangu bwana?? lol ona sasa..............
The Boss said: sijui kama nimekuelewa lol Click to expand... Hahahha Shemeji, nielewe hivyo hivyo mwaya! ndio, lazima nihakikishe kipo bwana................si naufahamu ugonjwa wa mwenzi wangu?? kwa nini nimnyime haki yake kwangu bwana?? lol ona sasa..............
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Sep 20, 2011 #24 Kumbe ndio maana.......
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Sep 20, 2011 #25 kinyoba said: Tabasamu zingine zinachekesha ati! Hujawahi kuona mtu anatabasamu halafu sura inakuwa kama anataka kupiga chafya?! Click to expand... <br /> <br /> hahahaha!
kinyoba said: Tabasamu zingine zinachekesha ati! Hujawahi kuona mtu anatabasamu halafu sura inakuwa kama anataka kupiga chafya?! Click to expand... <br /> <br /> hahahaha!
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,421 Sep 24, 2011 Thread starter #26 Chauro said: wengine ukitabasamu kila wakati tena kwa hawa viumbe wa jinsia tofauti na yetu hawakukosei neno binadamu mna wema!!!!! Click to expand... sijakupata hapo
Chauro said: wengine ukitabasamu kila wakati tena kwa hawa viumbe wa jinsia tofauti na yetu hawakukosei neno binadamu mna wema!!!!! Click to expand... sijakupata hapo