Hofu imetanda Avic town

Hata uandike nyuzi 100 kesho club African atapigwa tu uwe unataka au hutaki
 
Na bado tupo tuu....nyie kukandwa viwili tu kelele Afrika nzima utafikir nchi imetekwa....hakuna urahc kwny jambo lolote...nyie kujikusanyia wastaafu bax mkajiona mtaenda kimataifa...mtasubir sanaa..tunasubir kuona mnakandwa zile 6 mlizokuwa mna Raja Cassablaca
 
Haya waambie wenzako kuwa Simba aliongoza kundi akiwa na points 13 na tofauti ya magoli 8 ya kufunga. Halafu uksmuombe mama yako msamaha kwa kukuzaa.
Uwaambie mbumbumbu wenzako hakujawahi na haitatokea kombe la kuongoza kundi. Izo ni akili za vilaza tu.
 
Dah!Jamaa umewachamba kimbwa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Nimeagiza kongoro na ndizi asubuhi hiii na bado mchana nakula donaaa na samaki ili nipate nguvu za kucheka maana kuna vituko vinaenda kutokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
lolote baya liwakute, wakishinda nitashangilia, wakifungwa nitafurahi sana
 
Kama kusivyokuwa na kombe la kutokufungwa mechi 45
Umeua mkuu mashabiki wa yanga wengi hawana uwezo wa kuchanganua mambo wanashindwa kutofautisha kati ya success na achievement kufika hatua ya group stage Caf champions league ni achievement na kuchukua ubingwa ni success na achievement ndo inazaa success wanasahau hilo ukiwaambia wanasema huko Caf champions league mmefanya lipi la maana hawajui kucheza group stage Caf champions league iliyowashinda na Tanzania kutoa wawakilishi wanne Caf champions league ni moja ya maendeleo ya soka letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…