Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mamlaka ya mji wa Bat Hefer unaopakana na mji wa Tulkarem huko ukingo wa magharibi imeanzisha uchunguzi baada ya wakaazi wa eneo hilo kusema wamekuwa wakisikia sauti chini yao kama kwamba kuna ujenzi unafanyika.
Mmoja ya wakazi hao alirekodi sauti hizo za kama mtu anachimbua na kuzipiga redioni wakati akihojiwa na moja ya kituo cha redio cha eneo hilo.
Ukishaumwa na nyoka ukiona unyoya unashtuka.Na ukiwa mwizi kila sauti unadhani unafukuzwa