[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna watu hii dunia mnafurahisha sana
Ujue kuna watu wanaongozwa na hisia kuliko uhalisia[emoji16][emoji16][emoji16]
Yani huyu huwa nasoma mada zake ili nifurahi tu[emoji3]Kuna watu hii dunia mnafurahisha sana
Allah anawaadhibuKuna watu hii dunia mnafurahisha sana
Ila yeye si kaleta habari tuuu au [emoji848][emoji3][emoji41]Yani huyu huwa nasoma mada zake ili nifurahi tu[emoji3]
Huo ni uoga umeshwaingia. Thubutu usikie sauti watu wakichimba meter 50 chini huko.Mamlaka ya mji wa Bat Hefer unaopakana na mji wa Tulkarem huko ukingo wa magharibi imeanzisha uchunguzi baada ya wakaazi wa eneo hilo kusema wamekuwa wakisikia sauti chini yao kama kwamba kuna ujenzi unafanyika.
Mmoja ya wakazi hao alirekodi sauti hizo za kama mtu anachimbua na kuzipiga redioni wakati akihojiwa na moja ya kituo cha redio cha eneo hilo.
Ukishaumwa na nyoka ukiona unyoya unashtuka.Na ukiwa mwizi kila sauti unadhani unafukuzwa
Officials order further investigation as residents of town near West Bank hear digging
View attachment 2858503
Umenikumbusha habari za wakoma na Washami! Wakoma wanawatisha Washami kwa sauti? Mungu wa Yakobo kasinzia nowadays?Mamlaka ya mji wa Bat Hefer unaopakana na mji wa Tulkarem huko ukingo wa magharibi imeanzisha uchunguzi baada ya wakaazi wa eneo hilo kusema wamekuwa wakisikia sauti chini yao kama kwamba kuna ujenzi unafanyika.
Mmoja ya wakazi hao alirekodi sauti hizo za kama mtu anachimbua na kuzipiga redioni wakati akihojiwa na moja ya kituo cha redio cha eneo hilo.
Ukishaumwa na nyoka ukiona unyoya unashtuka.Na ukiwa mwizi kila sauti unadhani unafukuzwa
Officials order further investigation as residents of town near West Bank hear digging
View attachment 2858503
Hiyo stori anajaribu ku-fabricate habari za wakoma na Washami! Ha ha ha! Jamaa jinga kweli.Hahahahaaa. Wewe ndg, wahurumie wafuasi wa allah maana wanampa allah sifa asizostahahili hata mara moja.