Tukutane OctoberUnajua km vyombo vya dola vinaish kwa amri yaan akuna siasa kule wakipigiwa simu kuwa waende sehemu fulan kutawanya maandamano wanatakiwa kujibu ni YES SIR kinachofuata ni kufika eneo husika na kuanza kutoa kisagp ikitokea askar mmoja akasaliti au askar kadhaa wakasalit amri atapelekwa nyuma ya pazia uko sasa kinachofanyika atapokea dozi mara 10 ya zile alizotakiwa kutoa kwa waandamanaji na hii huwatisha sn askar wengine askar wengine hivyo wanakua hawana jins wao ni kutii amri tu hata km ni bull shirt order
MJIPANGE CCM SIO RAHIS KUITOA
MshariwaTukutane October
Kajenga Chato na imepotea 1.5Trillion, yeye ni zaidi akaamua kumtimua hata CAG ili abaki na mataga wenzakeKama mjeruman alijenga na magufuli nae kajenga bas ngoma draw
JPM hajatimiza ahadi yeyote alioahidi 2015.
Sahivi atakuja kusema lipi?
ila mkuu elewa pia mahakama ja kijinai ipo so yote kwa yote kama busara haitatawala watu wajiandae vizur tu na mawakili wa kutosha tz sio kijiji na uchaguzi wa mwaka huu sio wa kitoto at maana wapinzani mwaka huu wanatafuna kila sehem na wamejipanga na kauli zao tu zinaonesha wajipanga sawasawaUnajua km vyombo vya dola vinaish kwa amri yaan akuna siasa kule wakipigiwa simu kuwa waende sehemu fulan kutawanya maandamano wanatakiwa kujibu ni YES SIR kinachofuata ni kufika eneo husika na kuanza kutoa kisagp ikitokea askar mmoja akasaliti au askar kadhaa wakasalit amri atapelekwa nyuma ya pazia uko sasa kinachofanyika atapokea dozi mara 10 ya zile alizotakiwa kutoa kwa waandamanaji na hii huwatisha sn askar wengine askar wengine hivyo wanakua hawana jins wao ni kutii amri tu hata km ni bull shirt order
MJIPANGE CCM SIO RAHIS KUITOA
Wanapita kimya kimya hakuna mtu anawafuatiliaMbona wagombea wengine sioni wakitafuta wadhamini