Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Dec 24, 2024 Thread starter #21 TUJITEGEMEE said: Asante. kwa kuwa nakala unayo, kama hautojali, naomba uiandike neno kwa neno hapa JF na kwenye uzi huu ilitufaidi matunda ya makala hiyo, Mkuu. Natanguliza shukrani. Click to expand... Tuji... Nasikitika hilo siwezi kufanya ila nakueleza kuwa hiyo cutting inasomeka jaribu na simu nyingine.
TUJITEGEMEE said: Asante. kwa kuwa nakala unayo, kama hautojali, naomba uiandike neno kwa neno hapa JF na kwenye uzi huu ilitufaidi matunda ya makala hiyo, Mkuu. Natanguliza shukrani. Click to expand... Tuji... Nasikitika hilo siwezi kufanya ila nakueleza kuwa hiyo cutting inasomeka jaribu na simu nyingine.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Dec 24, 2024 #22 Mohamed Said said: jaribu na simu nyingine. Click to expand... Sawa Mkuu, ngoja nijaribu kifaa kingine.
Mohamed Said said: jaribu na simu nyingine. Click to expand... Sawa Mkuu, ngoja nijaribu kifaa kingine.
Light saber JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,368 Reaction score 7,935 Dec 24, 2024 #23 Huyu dully sykes ana udugu na hao wapigania uhuru the sykes
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 3,978 Reaction score 6,739 Dec 24, 2024 #24 Samahani sana Mkuu Mohamed Said je naweza kupata nakala za vitabu vyako!? Natanguliza shukrani