Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

Kitambo watauza hizo mashine mitaani kama manati... Wanatuzoesha taratibu.... Kila mtu ajilinde. Nchi ya mama,watoto wa mama...
 
Ukifanikiwa kuifukunyua nitag mkuu

Kama bado haijanunuliwa itafaa sana
 
Uyu anayejiita puker anapaswa kuja hapa kunyoosha maelezo.

Vinginevyo na yeye tumripoti Kama dalali tapeli humu jf
 
Ngoja chadema waje kushangilia.

Yani wana akili vyatu mpaka basi
Hicho ndicho kinachowagharimu hata polisi na wanachama wa CCM.
Badala msimamie sheria na kuhakikisha watu wanakua kiuchumi ila mko busy na CHADEMA. Mnaigopa sana CHADEMA?
Polisi na wanachama wa CCM wao nikuongeza kodi na kuwakamata viongozi wa CHADEMA ili kuwakomoa.
Endeleeni kuongeza kodi tu kila siku maana wananchi wanapesa nyingi sana.
ZAMBIA tayari kishanuka. Nyie bado muda wenu.
Naomba msiendelee kutoa ajira, muongeze kodi ziwe nyingi kasi kwamba ukituma 5,000 ili uitoe unakwata 3,000. Mafuta, sukari, ngano, vifurushi vipande bei yaani inatakiwa 100mb unanunua kwa 10,000 n.k
Hapo tutaelewana vizuri.
 
Akhsante sana mkuu

Kilikuwa kinauzwa bei kubwa sana aiseeeee!!
 
wanataka kutimiza azma yao ya kulipua vituo vya mafuta?!
Jeshi letu la Polisi msimchekee mtu yeyote.
moto moto tu.
 
Ngoja chadema waje kushangilia.

Yani wana akili vyatu mpaka basi
Ndugu yangu, mimi ni mwanachama hai wa CCM.

Nakuomba sana usiwe na fikra hasi namna hii. Kumbuka imetokea incident ya umiliki wa kituo kama ilivyoripotiwa. Weka siasa zako chafu pembeni au soma kimya kimya usiharibu uzi.
 
Huenda yakawa ni Masalia tu ya Hamza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…