Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
Leo majira ya saa 22:45 nimepata ujumbe unaosoma,
"Raia mwema fuata sheria na taratibu zilizowekwa wakati wa kudai haki yako. Mamlaka husika itakusikiliza ukifuata utaratibu. Utakapozivunja sheria itafuata mkondo wake. Kumbuka Mungu ni wautaratibu vivyo hivyo na Serikali. Tudumishd amani" mwisho wa ku nukuu, sender ni "Emergency service"
najiuliza, imeanza lini haki kupatikana ndani ya magamba?
Na kume nao wanamjua mungu?
Huu ni mchezo wa kina power mabula na kiini macho.
Rai yangu, makampuni ya simu na mengne,msikubal kutumika kwani mnaem2mikia hatokuwepo siku chache zijazo na utatapatapa, ni hayo tu kwa usiku wa leo wakuu,hope kuna walopata ujumbe huu pia