Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wana JF habari za Mchana!
Mara nyingi nimekuuwa nikijiuliza ni kwa namna gani mtu anaweza ku-overcome hali ya hofu ya namna yoyote.
Ninae jamaa yangu ambaye naona ana wakati mgumu najaribu kumchangamsha na kumweka sehemu yenye mchanganyiko ya watu lakini naona bado haisaidi.
Je ni kwa namna gani anaweza kusaidika ili aweze ku-overcome hofu na stress za namna hiyo?
Naomba kuwasilisha, kwa michango yenu!