Hofu ya kugonganisha magari inavyozuia wengi kutohudhuria maeneo ya starehe au msongamano

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wadau!

Sikukuu ndo hizo zinaanza, weekend ndefu ndefu kama zote!

Tupeane mbinu za namna ya kukwepa kugonganisha magari chimbo na sehemu za starehe!!!
 
Una magari mangapi yote ya diesel au petrol?
Kama yote ni ya petrol utagonganisha tu!
 
Wadau!

Sikukuu ndo hizo zinaanza, weekend ndefu ndefu kama zote!

Tupeane mbinu za namna ya kukwepa kugonganisha magari chimbo na sehemu za starehe!!!
Uza location fake!!
 
Funga GPS kwenye magari yako
Utaweza kuya monitor
 
Dunia duara, inazunguka kwenye mhimili wake saa 24 kwa siku na inalizunguka jua siku 365 na robo. Ndani ya hii mizunguko tunashuhudia na kusikia mambo mengi sana- ya kuhuzunisha, kufurahisha, kuudhi, kuelimisha nk.
Haya ndio maisha.........
 
Wadau!

Sikukuu ndo hizo zinaanza, weekend ndefu ndefu kama zote!

Tupeane mbinu za namna ya kukwepa kugonganisha magari chimbo na sehemu za starehe!!!
Usiendeshe gari kama huna leseni ya udereva
 
Back
Top Bottom