Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Oct 13, 2023 #121 fyddell said: Amini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣 Click to expand... Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulaya
fyddell said: Amini usiamini, kuna mtu atatengeneza ID mpya kujiita KUNGUNI WA ULAYA🤣🤣🤣 Click to expand... Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulaya
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Oct 13, 2023 #122 Licking Wounds said: Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulaya Click to expand... Sikujua hilo mwanzo, alipaswa kuwa maarufu kutokana na unique I'd sasa muda mwingi yupo kimya😄😄
Licking Wounds said: Yupo humu kitambo sana kunguni wa ulaya Click to expand... Sikujua hilo mwanzo, alipaswa kuwa maarufu kutokana na unique I'd sasa muda mwingi yupo kimya😄😄
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Oct 13, 2023 #123 Licking Wounds said: kunguni wa ulaya unaitwa huku Click to expand... Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂
Licking Wounds said: kunguni wa ulaya unaitwa huku Click to expand... Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Oct 13, 2023 #124 fyddell said: Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂 Click to expand... Kaleta noma kinoma noma😀😀
fyddell said: Hajui kwamba ameianzisha balaa ULAYA huko mpaka kuripotiwa kwenye vyombo vikubwa vya habari?😂😂 Click to expand... Kaleta noma kinoma noma😀😀
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,216 Reaction score 7,254 Oct 13, 2023 #125 Licking Wounds said: kunguni wa ulaya unaitwa huku Click to expand... Hahaaaaa, anawasambaratisha wafaransa sasa. Kunguni wa ulaya sio mchezo.
Licking Wounds said: kunguni wa ulaya unaitwa huku Click to expand... Hahaaaaa, anawasambaratisha wafaransa sasa. Kunguni wa ulaya sio mchezo.