Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya misitu na miji, na mwishowe unaona mbele yake bahari kubwa sana hivi.. Kiasi kwamba kuingia ndani yake kunaweza kumaanisha kutoweka milele. Lakini hakuna njia nyingine. Mto hauwezi kurudi nyuma. Hakuna mtu anayeweza kurudi jana.. Wakati hauna rivasi.
Kurudi nyuma haiwezekani kuwepo. Hakuna njia nyingine, mto hauwezi kurudi ulikotoka. Lakini mto unahitaji kukubali asili yake na kuingia baharini.
Ni kwa kuingia tu baharini hofu itatoweka. Kwa sababu ni hapo tu mto utajua kuwa sio juu ya kutoweka ndani ya bahari, bali ni kuwa sehemu ya bahari ni kuwa bahari.
Je umejifunza lolote kuhusu fumbo la kifo na dhana dhanifu ya mto kuingia baharini?
www.jamiiforums.com

Sanaa ya kifo
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na kiasili. Kwenye mada nyingi tumeona uhayawani wa mwanadamu tumeona kwa sehemu kubwa jinsi kiumbe...