SoC04 Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

SoC04 Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

Tanzania Tuitakayo competition threads

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao.

WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO MABOVU KULIKO WALIYO YAKATAA

Hofu ya umri ikizidi uwezo wa muhusika hujikuta kwenye maamuzi ya kushangaza , alichokiktaa kinakuwa bora zaidi ya amechokigaua kwa shinikizo la hofu ya umri 😔

NINI UFANYE?

Ukianza kuona huangalii tena ubora bali untaka tu jambo litimie jua tayari wewe ni muhanga wa hofu ya umri, kaa chini tulia jiambie ubora ni zaidi ya hofu ya kuchelewa.

Mwanasayansi Saul kalivubha
 
Upvote 1
Ukianza kuona huangalii tena ubora bali untaka tu jambo litimie jua tayari wewe ni muhanga wa hofu ya umri, kaa chini tulia jiambie ubora ni zaidi ya hofu ya kuchelewa.
Ahsante kwa ushauri huu mwanasayansi. Tulia vuta pumzi ndeeeeeeeeeefu, shusha halafu fanya uamuzi wa akili.
 
Back
Top Bottom