Hofu

Hofu

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Naomba kuuliza kwa wataalam wa saikolojia; hofu na moyo kwenda kwa kasi kabla ya kukutana kimwili ambayo hupelekea hata penis kutosimama imara yaan kawaida yake.
 
In addition kwenye hilo swali...
Hofu, wasiwasi na moyo kwenda kasi... si lazima kabla ya tendo la ndoa, anytime like unasubiri kuingia kwenye interview.. to me huwa inanitokea muda wowote.
 
Ni state of mind au psychological upsetism...! inawatokea sana under 20 ni mapenzi ya ujanani unamtamani mno mwanamke unamuona ni mzuri sana yani kila umwonapo moyo unakwenda mbio na mishipa kujaa damu mpaka kichwani
lnakuwa ni vigumu mno kumpata kwakuwa una hofu naye halafu from nowhere anakukubalia lazima hiyo hali ikupate
Ukishakuwa mzoefu wa wanawake hiyo hali itatoweka kama isipotoweka onans na wataalamu wa psychology
 
hujazizoe K wewe ni sawa na kupanda ndege kwa mara ya kwanza au kwenda mjini kwa mara ya kwanza ukitokea bush
kuna wengine wanado huku wanaongea na simu au kutuma msg...!!!
 
Ni state of mind au psychological upsetism...! inawatokea sana under 20 ni mapenzi ya ujanani unamtamani mno mwanamke unamuona ni mzuri sana yani kila umwonapo moyo unakwenda mbio na mishipa kujaa damu mpaka kichwani
lnakuwa ni vigumu mno kumpata kwakuwa una hofu naye halafu from nowhere anakukubalia lazima hiyo hali ikupate
Ukishakuwa mzoefu wa wanawake hiyo hali itatoweka kama isipotoweka onans na wataalamu wa psychology
asante kwa ushauri,hivyo unataka kunambia hilo si tatizo la kimwili bali nikutojiamin tu.
 
In addition kwenye hilo swali...
Hofu, wasiwasi na moyo kwenda kasi... si lazima kabla ya tendo la ndoa, anytime like unasubiri kuingia kwenye interview.. to me huwa inanitokea muda wowote.
asante kwa ushauri,ila ni kwa jinsi gan unaweza ukanisaidia ili niweze kuhandle iyo situation?
 
hujazizoe K wewe ni sawa na kupanda ndege kwa mara ya kwanza au kwienda mjini kwa mara ya kwanza ukitokea bush
kuna wengine wanado huku wanaongea na simu au kutuma msg...!!!
issue si kuzoea k bro,nshagegeda sana tena kila aina kasoro albino tu,hapo issue ni stress tu
 
asante kwa ushauri,hivyo unataka kunambia hilo si tatizo la kimwili bali nikutojiamin tu.

Sio tatizo kabisa ukiweza kabla ya kudo ondoa nishai kwa kupata kilevi kidogo kama ni mtumiaji lakini , isiwe madawa ya kulevya tafadhali
 
asante kwa ushauri,ila ni kwa jinsi gan unaweza ukanisaidia ili niweze kuhandle iyo situation?

Kujiamini ndio dawa pekee!
Ke ni watu wa kawaida sana na amini hata ke awe mzuri kiasi gani hawezi kosa kasoro! Wewe unajidharau kiasi ke akikubali unaona kama unaota!
...
Vile vile utambue mbunye ni matunda ya kawaida tu! Na wewe kupata mbunye sio ngekewa, mbunye ziko kwa ajili yetu! Ulimbukeni wako ndio unaokuponza!
 
Hali ya kikazi na maisha kwa ujumla,nadhan changamoto ni nying mno

Hivi unahisi kuna mwanadamu asie na stress? Labda watoto!
...
Chakufanya ni kujiamini na kuishughulikia bunge vile ipasavyo!
 
Sio tatizo kabisa ukiweza kabla ya kudo ondoa nishai kwa kupata kilevi kidogo kama ni mtumiaji lakini , isiwe madawa ya kulevya tafadhali
asante,ucjal hapa powder marufuku
 
Hivi unahisi kuna mwanadamu asie na stress? Labda watoto!
...
Chakufanya ni kujiamini na kuishughulikia bunge vile ipasavyo!
asante kiongoz,bunge lip tena? La katiba au la kwenye pichu?
 
Nikweli pole sana hii Hali inatupata sana sisi watu wazima chamsingi ni kupuuza tu unapo anzsl a
 
Back
Top Bottom