Hongera yake kwa KUIONJA SUMU, ili aione kama inaua!R.I.P Magufuli uliona mbali sana kwenye hili igizo la corona
Si kwa vile wazungu wamefungua ya kwao... wangeendelea na yeye angeendelea... kwani Korona imeisha?
R.I.P Magufuli uliona mbali sana kwenye hili igizo la corona
afadhari sasa sisi wachuuzi wa kanda ya ziwa tuta safirisha na kuuza mchele na mahindi yetu nchini Rwanda,
JPM ni Rais bora wa wakati wote..
Naam kwa 100%Hata sukuma genge wanasema hivyo. Vipi, by chance ulikuwa mmoja wao?
Naam kwa 100%
Mipaka yenyewe inapitisha viazi na ndizi TU plus Wakora. Mipaka ya nchi Masikini hata ikifungwa sioni hasara kabisa. Mpaka Kama wa Horiri mpaka umeota Nyasi,hakuna anayepita kabisa.Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona.
Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya kupumua.
View attachment 2143052
Katika nderemo hizo, yasemekana pana walioyasindikiza mabasi kwa staili hii hadi mipakani mwa nchi yao.
Penye moshi pana moto.
Yawezekana, pamoja na yote bado nabii jiwe alitupa nafasi ya kupumua japo kiaina.
Hiiiiii bagosha!
Mipaka yenyewe inapitisha viazi na ndizi TU plus Wakora. Mipaka ya nchi Masikini hata ikifungwa sioni hasara kabisa. Mpaka Kama wa Horiri mpaka umeota Nyasi,hakuna anayepita kabisa.
Ahsante Putin kwa kuitokomeza korona.