Hoja 8 kwanini Mbowe anafaa kuchaguliwa tena Mwenyekiti CHADEMA

Kwa hoja hizi then Tanzania haifai kuwa na vyama pinzani

Ccm wanapaswa kuendelea kutawala milele na milele

Coz wao ndio wanafit kwenye hizo sifa ulizotoa hapo juu
 
Kwa hoja hizi then Tanzania haifai kuwa na vyama pinzani

Ccm wanapaswa kuendelea kutawala milele na milele

Coz wao ndio wanafit kwenye hizo sifa ulizotoa hapo juu
Husomi history? Chama gani kipo milele?
 
Mwenyekiti gani amekaa milele? That's why wanataka Mbowe apumzike
Uchaguzi 21 watumie kura kumuondoa. Hapa ccm hamuambii ikuwachieni mutawale na wao wakae upande?
 
Mbowe kwa sasa hata mtoto mdogo anajua ni kibaraka wa CCM kulingana tu na hali inayoendelea
 
Lissu ana sera moja tu ya kuwapeleka vijana mabarabarani.
 
Fedha za ccm zinanunua mpaka machawa kutoka ccm kumpigia debe mtu wa Chadema

Fedha huondoa utu wa wawapenda fedha

Mtu makini hatawaliwi na fedha bali yeue ndiyi huzitawala fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…