Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kwa sababu imeomekana kuwa ni janga la taifa letu basi Bunge letu kama linavyotakiwa kuisimamia serikali.
Basi hoja Binafsi iwakilishwe na ikiwezekana Bunge liazimie.
Sipigi kura?Spika alishakataa,kuiridisha tena hiyo hoja bungeni ni kumkwaza Spiral,after all wewe mleta hoja huamui kuhusu uwepo wa mwakilishi wako kule bungeni.
Kura yako inahesabiwa kwa HAKI?Sipigi kura?
Umelewa au ni mwehuKwa sababu imeomekana kuwa ni janga la taifa letu basi Bunge letu kama linavyotakiwa kuisimamia serikali.
Basi hoja Binafsi iwakilishwe na ikiwezekana Bunge liazimie.