Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru...
Tunajivunia mafanikio mengi..
Tunajitahidi kufanya mengi..
Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka..
Hadi wazungu watupongeze
Hadi wazungu watukosoe
Hadi wazungu watusikilize
Hadi wazungu watupigie makofi...
Wanachokisema juu yetu ndicho tunachoamini ni kweli..
Unafanya nini na taifa la watu wanaojiona duni...?