Jamani weee mzee sasa unazeeka vibaya!! ...kalale mzeee...kapumzike mzeee... nilikuwa nakuheshimu lkn sasa sikuheshimu tena!! Mabarabara yoote haya, mighorofa, wasomi kibao! miradi kedekede!! migari, mishamba ya kisasa heee! twajitegemea, twajilisha, twajilinda mweee! unataka nini zaidi??? dhiki zako hukohuko!!!
Misaada wanalazimisha hatuitaki kiviile!! ila basi tu!.... km hujui kuna sehemu wanatutega kideni deni!! ili siku tukidai fidia ya utumwa tu!! watubane! kuwa wanatudai!! misaada yao wanalazimisha!! funguka!! inaonyesha huko st kayumba ulikuwa mtoro!
angalia sasa miaka 60 kiduchu tu! ya uhuru nchi imefurika wasomi!! nchi nzima ni Lami tupu! HOspitali rufaa kibao! Mashule mama!! waalimu, wataalamu, miviwanda jeshi la maana, tumeshiriki vilivyo kuwakomboa ndg zetu! leo wako huru, SADDAC, EAC, nk, yaani full shangwe!!
wao weupe kwa umoja wao wametawala hapa miaka takribani 200 walifanya nini cha kujivunia?? pamoja na usomi wao huo! mifedha, elimu, utaalamu wao! ulitusaidiaje??........ tuko vizuri dogo km wamekutuma kawaambie tumestuka! USIRUDIE TENA make naona unalialia km toto yatima!
havitoshekagi vile vitoto!! ukikapa nyama bado kanatizama sahani ya mwenzie!! kulialia tuuu!!! mama wamevuta buranketi.....ukienda kenyewe ndokamejifunika!!.... ndo kama weye!!! hutosheki wee mzee! Gubu! pwiiii!