Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine.

Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
 
Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo.
 
Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo.
INAFIKIRISHA SANA ILE HATUA, ILA JAMANI MWENDAZAKE ALITUVURUGA SANA NA HAKIKA MOTO WA MILELE WA JEHENAMU UENDELEE TU KUMCHOMA LAANA TULLAH YULE.
 
Back
Top Bottom