P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,703 Reaction score 3,307 Jun 24, 2021 #1 Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
mkombengwa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 3,173 Reaction score 3,443 Jun 24, 2021 #2 Wawahoji covid 19,ingawa Si wabunge wa cdm
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,966 Reaction score 6,593 Jun 24, 2021 #3 Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo.
Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo.
ORCA ACE JF-Expert Member Joined Jan 18, 2020 Posts 1,449 Reaction score 1,708 Jun 24, 2021 #4 Mromboo said: Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo. Click to expand... INAFIKIRISHA SANA ILE HATUA, ILA JAMANI MWENDAZAKE ALITUVURUGA SANA NA HAKIKA MOTO WA MILELE WA JEHENAMU UENDELEE TU KUMCHOMA LAANA TULLAH YULE.
Mromboo said: Eti walitaka waseme Mbowe kala hela ya Chadema kupitia Ruzuku. Aliyekuwa mtoa siri mkuu ni Lijualikali na Silinde. Ila Karma ipo. Click to expand... INAFIKIRISHA SANA ILE HATUA, ILA JAMANI MWENDAZAKE ALITUVURUGA SANA NA HAKIKA MOTO WA MILELE WA JEHENAMU UENDELEE TU KUMCHOMA LAANA TULLAH YULE.