Urusi ni Kiswahili Russia English.Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.
VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi.
Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni kingereza au kiswahili na je Urusi ni nini?
Karibuni
Mbona inakaa vizuriUjapani haikai
Sio zote zinasokaa mfano umeksikoMbona inakaa vizuri
Hapo ngumu kumezaSio zote zinasokaa mfano umeksiko
Ongezea na "Uzinzi" yote yanaenda tuu hahahahahahaUturuki
Ugiriki
Ufaransa
Ubelgiji
Uswisi
Ureno
Ubena Zomonzi
Tungelikuwa tumeanza kuita hayo majina na kuyazoea tokea zamani basi leo tungeona kawaida tu.Umbeya..
Hii formula ni kwa bara la ulaya tu..amerika,africa na asia hawamo nadhani
Uturuki
Ugiriki
Ufaransa
Ubelgiji
Uswisi
Ureno
Ubena Zomonzi
FANYENI KAZI NYIEKutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.