Hoja Kidogo Kuhusu Feisal

Hoja Kidogo Kuhusu Feisal

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Tuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake

ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?

Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi

Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,

N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga

f1.jpg
 
View attachment 2514601
Tofauti Kati ya Feisal na Zitto Kabwe kipindi anadanganywa na kina Kitila agombee Uenyekiti ili apate nafasi ya kugombea Urais 2015 ni fani zào tu. Mmoja soka mwingine siasa lakini wote walikurupuka.
 
Tuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake

ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?

Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi

Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,

N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga

View attachment 2514601
Usishangae akaja kucheza namungo
 
Mkuu mbona kama unaandika kitu ambacho hukijui Feisal alikuwa anapambana avunje mkataba na Yanga ili aende azam (kama mchezaji huru) ambayo kimahesabu haipo shirikisho wala klabu bingwa hivyo Feisal alijua wazi ataikosa michuano ya Caf ya mwaka huu kwa kujiunga azam
Kitu pekee Feisal anachokikosa ni kuitumikia klabu yake ya azam ambao wanamlipa mshahara dogo kipindi chote hichi anachosubiri utatuzi wa suala lake
 
Taarifa za kulipwa mshahara na Azam umezitoa wapi?
 
Tuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake

ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?

Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi

Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,

N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga

View attachment 2514601
Siku zote Nina falsafa yangu ya kwamba Jambo Ni lako na utabaki nalo pekee ako ,hvyo Ni vyema nikaweka mipango yangu all allone kwa asilimi90 hz kumi Ni kupokea maoni tu

Leo kina Bibi kwzumari wamemkimbiaa na kijana amebaki peke ake akiwaona wezake wakiuza majina Yao na kuonekana ulimwenguni Ni fedhea Sana watu wamemfanya hyu kijina mjinga tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenyewe nilishangaa alikua kabakiza msimu huu tu alishindwa kweli kuvumilia?
 
Hakushauriwa vizuri, Ila bado atacheza mpira bongo ligi kuu. Hatokuwa na jina kubwa Ila kipato kitaongezeka.
Sisi tunashabikia timu yetu ya Yanga, kama hayupo Yanga hautuhusu.
 
Mwache avune alichokipanda
Aliwaskiliza wachambuz wake
Wa mchongo sasa amebal pekeake
 
Yanga wana roho mbaya tu mbona hawa simba ilimalizana nao kiubinadamu tu
Buswita alipewa hela simba na akasaini yanga wakampandia dau simba wakamwambia rudisha hela zetu tulizokupa kesi ikaisha
Hassan kesi ilikuwa hvyo hvyo ikamalizwa kiuninadamu mambo yakaisha
Ramadhan singano ilitokea hivyo hivyo yaani yanga sio tu kuwa fair kwa wachezaji yaani hta kutoa wachezaji wakitakiwa na team nyingine wanawabania yaani roho zao ni kichawi chawi na roho mnaya tu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom