Hoja Kidogo Kuhusu Feisal

Shida elimu kichwani hamna pia hana Menejiment, binafsi sijawahi kusikia Feisal anauongozi unaomsimamia zaidi watoto wa mjini wahuni ndio washauri wake, kafanya blunder sana yaani kajichoresha tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndondo wapi acheni umafia hivyo vitu vya kawaida mwacheni dogo akatafute changamoto kwingine mbona nyinyi mlishafanya sana umafiaa simba ikamaliza kimya kimya bila kukomoana

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Umafia upi? Si anakata rufaa CAS asuburi majibu
 
Haki yake Ni kutumikia mkataba aliousaini.labda Kama hamjui mpira na taratibu zake.kwenye mpira SI ajabu mwenye mshahara mkubwa akakaa benchi.mchezaji toka u20 akapata nafasi na mshahara wake hata 10% wa huyo wa benchi haufiki.anafuta taratibu wanamuongezea .sio mi naondoka .sawa ondoka,nenda who cares,klabu zinacare mkataba na taratibu,sheria na kanuni.mazungumzo.au wanakuuza au tumikia mkataba ondoka huru
 
Ujinga mtupu umeandikwa hapa, kama TFF wamejiamulia tu Feisal ni mchezaji.halali wa Yanga bila kusema alivunja kipengele gani kwenye mkataba wake, ujue wewe unaeamini Fei kakosea hamnazo.
 
Dogo amejawa na utoto mwingi na tamaa iliyopitiliza! Imagine mkataba wake unaisha mwakani 2024! Alishindwa vipi kuvumilia huu mwaka mmoja, ili akimaliza aende huko wanakolipa pesa nyingi?

Ngoja tuone mwisho wake. Na kama Yanga inaendelea kumlipa mshahara mpaka leo, ni vyema ikakaa chini na kutafakari. Maana hakuna mwajiri makini anaweza kumlipa mshahara mfanyakazi hewa.
 
Mtachagua kuachana nae au kumpa hela za buree aleee atakavyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ana uhakika gani kwamba akisubiri hadi mwakani hao watu watakuwa na ofa hiyo hiyo waliyomuwekea sasa
Hujafikiria kuhusu kiwango kushuka na dili likafa
 
Ujinga mtupu umeandikwa hapa, kama TFF wamejiamulia tu Feisal ni mchezaji.halali wa Yanga bila kusema alivunja kipengele gani kwenye mkataba wake, ujue wewe unaeamini Fei kakosea hamnazo.
Endelea kujisaulisha. Wakati kesi ya Yanga na Morrison ilipopelekwa TFF, TFF walitoa majibu tu kuwa mkataba wa Yanga na Morrison una mapungufu. Hakutoa maelezo ya vipengele vyenye mapungufu wala ufafanuzi wowote. Leo umekuwa mgeni?
 
Ujinga mtupu umeandikwa hapa, kama TFF wamejiamulia tu Feisal ni mchezaji.halali wa Yanga bila kusema alivunja kipengele gani kwenye mkataba wake, ujue wewe unaeamini Fei kakosea hamnazo.
Una maana gani hapo kwenye bold? Kwamba from nowhere unaamua kuvunja mkataba kisa imetokea timu yenye maslahi mazuri? Hao Azam kama walijua kinachofanywa ni sahihi, mbona toke sekeseke limeanza wapo gizani, hawajitokezi hadharani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…