Jiulize uwezo wa mtu asiyejua kitu kuhus uhusiano wa kimtaifa/uwekezaji/kodi anakaa kujadili sheria kuhsu mambo hayo kwa kuwa anajua kusoma na kuandika.Usibague watu,elimu au maarifa yamerahisishwa mno kupitia njia mbali mbali hata kupitia Google ni shule tosha kupata maarifa.
Labda tungewashawishi wanasheria kugombea ubunge na udiwani.Ingetusaidia katika kutunga sheria au kurekebisha sheria.
Hiyo ni ombwe! Illusion kabisa, ubaguzi upo kila sehemundio maana ya nchi yetu kuwa na katiba isiyo na ubaguzi,hatuwez kubaguana kw misngi ya ukabila,kipato,elimu,wala ukanda,nchi yetu ni kw ajr ya woote,woote wana haki sawa kw mjibu wa katiba ya nchi yetu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa, elimu ni nini?Kipengele cha kujua kusoma na kuandika kimepitwa na wakati ,sasa ni utandawazi , elimu ni muhimu sana . Hata kama una kipaji cha kuongea bila elimu ya kutosha ni bure . Kama mbunge umechaguliwa kusimamia kamati ya uchumi na pesa , utaongea nini kama huna elimu? Utaishia kugonga meza kwa hasïra ukiwaza wanakuonea (ifiriority complex) Hicho kipengele kiondolewe , badala yake (mwenye degree ya chuo kinachotambuliwa kisheria)
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly! For we've seen a professor (in the same parliament) boast himself that he has been brought from the trash! Kama Profesa anadai ametolewa jalalani (Chuo Kikuu cha DSM), tutasema tupo serious?Nikija kwenye sifa za ubunge, mtihani mkubwa wa mtu kuwa mbunge ni kuwatongoza viongozi wa chama na wananchi mpaka wampigie kura.
Huu ni mtihani mkubwa kuliko degree pengine.
Haifai kuweka vikwazo vya usomi kwa mbunge.
Kwa sababu, vikwazo hivyo vinaweza kupunguza demokrasia.
Wananchi wenyewe wanatakiwa kuamua huyu msomi atatufaa, na huyu msomi lakini hatufai, na hiyu si msomi lakini atatufaa, na hiyu msomi atatufaa.
Ukianza kuweka vikwazo vya usomi, watu wataanza kuweka vikwazo maalum kwa kukata watu maalum.
Ndiyo mambo aliyofanyiwa Samuel Sitta hayo. Watu walitaka kumkata, wakasema "mwaka huu tunataka Spika mwanamke".
Au mambo aliyofanyiwa Lowassa, watu wakasema "safari hii mgombea urais asizidi umri fulani".
Ukitaka kuondoa wabunge wasio na elimu rasmi bungeni, pandisha kiwango cha elimu kwa jamii nzima. Utaona hata bunge linaakisi elimu ya jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana Ph.D lakini si wasomi, wana ubinafsi sana. Tuwape uongozi?Exactly! For we've seen a professor (in the same parliament) boast himself that he has been brought from the trash! Kama Profesa anadai ametolewa jalalani (Chuo Kikuu cha DSM), tutasema tupo serious?
Unajuaje sijasoma vizuri informal na formal education? Nineongelea hizi habari kwa mifano ya John Major wa Uingereza na Lula da Silva wa Brazil.Kiranga - kajaribu kusoma kwa makini kuhusu informal education na formal education , ili upate mwanga kuwa elimu ni nini . Namaanisha elimu ya darasani na nje ya darasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika dunia ya leo inayotaka diversity, mara nyingine mtu asiye mtaalam ndiye anaweza kuchangia vizuri kuliko mtaalamu.Jiulize uwezo wa mtu asiyejua kitu kuhus uhusiano wa kimtaifa/uwekezaji/kodi anakaa kujadili sheria kuhsu mambo hayo kwa kuwa anajua kusoma na kuandika.
Nenda kasome kokote unakosoma lakini uje na certification inayoweza kuonyesha kuwa na ujuzi wa jambo fulani
Mimi swali moja sijajibiwa.Mkuu ubunge ni kazi ya kisiasa kama ilivyo urahisi hauitaji usomi wetu wa viuo vikuu. Siasa ktk jamii si taaluma ni jinsi ya kutumikia jamii. Ndo maana hakuna taaluma ya urahisi duniani bali ni ushawishi wa hisia ktk jamii inayokuongoza. Trump wa marekani hajawai kuwa hata karani serikalini leo ni mwamba na mtemi wa dunia kwa ushawishi wa kisiasa. Jiulize wabunge Maprofesa bungeni wametusaidia nin. Ulitakiwa ktk post yako utuwekee comparison kati ya majimbo ya wabunge wasomi dhidi ya majimbo ya wasio wasomi ilii tulinganishe. Tathimini ya haraka majimbo ya elimu ya kawaida wanafanya vzr zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app