Wewe ni Platinum member humu ndani, maana yake uko humu kitambo Kwa zaidi ya miaka 10. Hivi ni kwa nini unagoma kujishughisha na kujua Jambo moja tu… yote yanayo endelea nchini , likiwemo hilo la kuyataka maridhiano ni ili tu ccm ibaki madarakani milele… hilo unalijua au hulijui?Kwa hiyo tunahubiriwa maridhaliano katika mambo ambayo Wananchi hawayajui na wala haijulikani ni baina ya nani na nani na kwa nini!
Daaah Siasa hizi, Kaazi kweli kweli...
Kuna swali jingine linazuka. Katika ushindi wa 98% kutoka Milioni 32, vyama 16 vilivyoshiriki vilisaini kukubali matokeo ikiwemo ACT waliosaini majuzi. Maridhiano ni kuhusu nini tena ikiwa washiriki vyama 16 walikubali matokeo ya ushindi wa kishindo! CCM inataka kuridhiana nini na watu waliokubali matokeo! kuhusu nini na kwa kukoseana nini, wapi na lini!Yup! Ndo maana yake.
We umeona wapi watu ‘walioshinda’ uchaguzi kwa 98% kutaka maridhiano?
Unaambiwa turnout ya uchaguzi ilikuwa watu milioni 32!
Kati ya hao, milioni 31 wakamchagua Samia.
Maridhiano ya nini hapo?
Pamoja na yote hayo unadhani njia sahihi ya kufanya na inayowezekana ni ipi? Kama maridhiano hayawezekani haswa upande huo, kwa nini kila Kiongozi, Wanasiasa, Wanasheria yaani kila ninae msikia anaimba MARIDHIANO wakati hawakubaliani kabisa na Uongozi wa Samia na CCM?Yup! Ndo maana yake.
We umeona wapi watu ‘walioshinda’ uchaguzi kwa 98% kutaka maridhiano?
Unaambiwa turnout ya uchaguzi ilikuwa watu milioni 32!
Kati ya hao, milioni 31 wakamchagua Samia.
Maridhiano ya nini hapo?
Mkuu Mkandara hakuna! narudia hakuna aliyejitokeza ku 'define'' maridhiano ni kuhusu nini na kwanini , kwa kukoseana nini , lini na wapi!. Maswali hayajawahi kujibiwaPamoja na yote hayo unadhani njia sahihi ya kufanya na inayowezekana ni ipi? Kama maridhiano hayawezekani haswa upande huo, kwa nini kila Kiongozi, Wanasiasa, Wanasheria yaani kila ninae msikia anaimba MARIDHIANO wakati hawakubaliani kabisa na Uongozi wa Samia na CCM?
Ndio maana moja ya maswali yangu niliuliza 'Haya maridhiano ni baina ya kina nani?"
Pamoja na yote hayo unadhani njia sahihi ya kufanya na inayowezekana ni ipi? Kama maridhiano hayawezekani haswa upande huo, kwa nini kila Kiongozi, Wanasiasa, Wanasheria yaani kila ninae msikia anaimba MARIDHIANO wakati hawakubaliani kabisa na Uongozi wa Samia na CCM?
Ndio maana moja ya maswali yangu niliuliza 'Haya maridhiano ni baina ya kina nani?"
Yote yanajulikana, hoja nzima ya kuuliza kwangu hayo Maridhiano imetokana na mimi kukanganyikiwa nikijua hakuna Pande mbili nazozielewa zinahitaji Maridhiano...Ccm wamelikoroga kwelikweli.
..OCT 29 wameuwa mpaka WATOTO.
..kibaya zaidi kuna miili imepotezwa.
..wewe umeona wapi Polisi akauwa mhalifu halafu akapoteza mwili?
..Je, hiyo haiashirii kulikuwa na mambo ya ziada nje ya taratibu za kisheria kuzima maandamano na vurugu za OCT 29Kwahiyo kama hakuna Maridhiano njia
Mimi nionavyo selekali na chama cha mapinduzi ndio wanataka maliziano na si maliziano ambayo yatakuwa na uwajibikaji laahasha wanachotaka wao ni picha zipigwe kati ya wapinzani na selekali ili dunia ijue toko vizuri kama nchi ala nyuma ya pazia wanaendelea kuteka wapinzani kuuwa pamoja na kuumiza kila atakaetaka utawala wa sheriaShukran sana, lakini kwa yote hayo inaonyesha haya sio maridhiano bali Matakwa (Masharti) ambayo Serikali inatakiwa kuyafanya. Ni sawa na andiko langu la mwisho kabisa hapo chini.
Je, unaamini Serikali ipo tayari kukiri kuyafanya yote hayo kinyume cha Sheria ama UTU na wapo tayari kuyamaliza?
Pili ili kufikia muafaka wa hayo kwa madai hayo, ni kina nani watahusika na kikao ama vikao vya kuitaka Serikali ikubali na kutimiza madai haya yanayo tugawa kama Taifa.
Mwisho, Upi hasa msingi wa maridhiano yetu? Je, Upande wa pili yaani Serikali nayo inakwazika wapi? na itaweka masharti gani maana maridhiano huja na pande mbili zikiweka masharti yao ili kufikia Muafaka wa pamoja. Serikali inadai vitu gani vifanyike ili tupate makubaliano ya pamoja na yenye tija na ya Kudumu.
Yote yanajulikana, hoja nzima ya kuuliza kwangu hayo Maridhiano imetokana na mimi kukanganyikiwa nikijua hakuna Pande mbili nazozielewa zinahitaji Maridhiano.
Ndio maana nikaweka list ndefu ili nijue ni kina nani wanataka Maridhiano na kwa msingi upi?
Dah! Nilisahau hiyo aisee.Kuna swali jingine linazuka. Katika ushindi wa 98% kutoka Milioni 32, vyama 16 vilivyoshiriki vilisaini kukubali matokeo ikiwemo ACT waliosaini majuzi. Maridhiano ni kuhusu nini tena ikiwa washiriki vyama 16 walikubali matokeo ya ushindi wa kishindo! CCM inataka kuridhiana nini na watu waliokubali matokeo! kuhusu nini na kwa kukoseana nini, wapi na lini!
Ingekuwa mimi mshauri wa CCM, kwanza ningeuliza maswali haya haya miloorodhesha hapo juu, ili nijue tunataka Maridhiano na NANI na kwa MSINGI gani?..wewe sio mgeni Tanzania.
..tuchukue mfano ungekuwa Kiongozi ktk Ccm nini kingekusukuma ktk meza ya maridhiano?
..Au Ccm wakikutafuta kwa ushauri utawaasa wapeleke hoja gani ktk maridhiano?
Bob….CCM ndo wanataka hayo maridhiano. Ina maana hawajui wanayataka kwa sababu gani?Ingekuwa mimi mshauri wa CCM, kwanza ningeuliza maswali haya haya miloorodhesha hapo juu, ili nijue tunataka Maridhiano na NANI na kwa MSINGI gani?
Nikisha elewa hivyo, nitapanga kukutana na wahusika wenyewe kwanza faragha, kusikia msimamo na matarajio yao, kisha ndio nitashauri kifanyike nini maana huwezi shauri kitu ambacho hufahamu msingi wake wala madai ya Upande wa pili.
Na niongezee kusema hivi, kama ningekuwa Kiongozi CCM nina hakika hakuna lisilowezekana hata ukinambia msingi wa Maridhiano ni Utekaji na Maujai au hata Mauaji ya October 29! Mbona rahisi sana kuyamaliza na Watu wakafurahi.
Nina imani wanajua isipokuwa pengine wao wamelenga zaidi Wananchi ambao kwa ujumla wao hawana mwakilishi.Bob….CCM ndo wanataka hayo maridhiano. Ina maana hawajui wanayataka kwa sababu gani?