Hoja maalumu ya kumwodoa Gachagua yawasilishwa bungeni

Hoja maalumu ya kumwodoa Gachagua yawasilishwa bungeni

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
347
Reaction score
465
1727795798710.png

Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi.

Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula, hoja hiyo imeafikia vigezo hitajika kulingana na kanuni za bunge la kitaifa nchini Kenya, ambapo ili kuwasilishwa bungeni kwa hoja hiyo ni sharti wabunge 117 watie saini kuidhinisha hoja hiyo.

Miongoni mwa tuhuma zinazomkabili Naibu Rais Gachagua, ni pamoja na ukiukaji wa Katiba ya Kenya, Kuendeleza ukabila, kujipatia mali kwa njia isiyofahamika,imedaiwa Gachagua amejipatia mali ya shillingi billioni 5.2 ndani ya miaka mwili ilihali mshahara wake ndani ya kipindi hicho ni shillingi millioni 24.

PIA SOMA
- Yanayojili hoja ya kumuondoa Naibu Rais Rigath Gachagua leo Oktoba 1, 2024

- Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

- Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

- Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

- Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

Chanzo ITV
 
Back
Top Bottom