Zanzibar 2020 Hoja mbili za Membe zawakonga moyo wazanzibari

Mpinzani anayetafuta kura kwa hoja huyu.
 
Kwanini, Zitto na Mbatia hawagombei chochote, sio udiwani wala ubunge, na ni viongozi wa vyama vyao, vyama vingine tofauti, au ndio wanasubiria kuteuliwa?!
 
Na bado watasema mambo mengi ya kufarisha watu ingawa siyo hoja za hao wananchi. Hizo ni hoja za akina Membe tu!
 
Bila shaka hata wewe ni mchovu vilevile kama wao.Juzijuzi tu Membe alikuwa serikalini angeyasema hayo.Lakini,tuache hayo kwa kweli Membe anapwaya sana .Unamsifia tu kwa sababu uwezo wako wa kufikiri na kuona umeishia hapo.
 
Bila shaka hata wewe ni mchovu vilevile kama wao.Juzijuzi tu Membe alikuwa serikalini angeyasema hayo.Lakini,tuache hayo kwa kweli Membe anapwaya sana .Unamsifia tu kwa sababu uwezo wako wa kufikiri na kuona umeishia hapo.

Umejuaje kuwa alipokuwa serikalini hakuyasema?
Au ulitaka baada ya kumshauri rais aite media autangazie umma kuwa kamshauri rais kitu juu ya hao masheikh?
Serikali haifanyi kazi hivyo!
 
Hivyo una hisi kakosa jukwaa?! Ahamie CHADEMA amwage issues.
 
Wakati akiwa serikalini, alikuwa wapi kushauri hayo yote. Je mashekhe walikamatwa lini?
yesu wa burigi na CCM aliwahi kushauri nini serikali zilizopita? Si kila siku analalamika
 
Nchi inaenda kukombolewa upyaaaa. Ccm wataweka wapi sura zao? Nina imani atachokifanya Membe hata Lissu atafanya japo sio ndani ya mwaka mmoja.
 
tulikuwa hatujui kuwa kumbe Membe pia ni mtaalamu wa kushambulia jukwaa na kutema cheche kwa convincing power ya kutisha, Kwa kweli uchaguzi huu umetusaidia kumjua huyu jamaa kuwa kumbe siasa anazijua!
Utaalamu wa kushambulia jukwaa na kusema cheche kwa convincing power ya kutisha ni jambo moja, na kuwa na mvuto wa kukubalika na kuchagulika ni jambo jingine!, kwa Zanzibar na Pemba, Membe atavuna kura nyingi kwasababu tuu ya mbeleko ya Maalim Seif, kama EL alivyopata kura nyingi Zanzibar kuliko JPM ile 2015, lakini tukija kwenye suala la mvuto, msisimko, hamasa na kuchagulika kwa huku bara, Membe ni hakuna kitu, hili ni Joka tuu la Mdimu, kitakacho mbeba Membe huku Bara ni candidature status ya Lissu, lakini Membe as Membe, mbele ya JPM, ni pale hakuna kitu pale!, nil!.

Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Membe amejuaje Contents za 'Diplomatic Bag'? Uwezo kukanusha kaupata wapi? - Tusidanganyane!

Face To Face With Mhe. Benard Camilius Membe!. "Sipati Usingizi!"

P
 

Jiwe ndo hana mvuto kabisa wa kuongea, ashukuru akina JK na BWM walifanya yao kwenye mkytano mkuu wa CCM kwa kumchezea faulo yule mama Amina Salum Ali, na kisha wakafanya yao kwa kumchezea faulo EL. Jiwe aligaragazwa vibaya sana kwenye ule uchaguzi, nimeenyezewa kuwa hata yeye aliambiwa hilo!

Kuhusu Membe, Labda hujamsililiza vya kutosha, Tafuta speevh yake kwenye mkutano mkuu wa ACT, alipohojiwa na BBC, Jenerali Online, Kubenea n. k

Membe ana points, anajua kupangilia hoja, ana substance za kutosha, kiufupi the guy is good!

Labda nyinyi mnapenda wanasiasa wenye kupayukapayuka, vitisho vitisho, mbwembwe!.

Siasa za hivyo Mwinyi hakuwa nazo, wala Mkapa na wala hazikuwazuia kuwa maraisi.

Hoja ya msingi ni kukata issues, na Membe anazikata kwelikweli!

Pasco acha uvivu, tafuta youtube videos za Membe umuangalie jinsi alivyo deep, Utamkubali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…