Hoja na Haja za Dkt. Tulia kuwa Spika wa Bunge

Hakika Dr Tulia anazo sifa zote,Sina shaka na uwezo wake hata kidogo.Wana Mbeya mjini kwa mara ya kwanza mmepata mbunge anayetosha,kila la kheri kwake katika safari ya uspika.
 
Yule Tulia hapana kwa 100%. Hafai.
Kile kimama kina akili za kitoto na kimekaa kishirikina mnoo.
 
Kujipendekeza kwa Rais👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Taifa haliwezi kuendelea kwa mihimili kumtafutia Rais safe haven.Kwa jambo hili Tanzania ni Taifa la laana.
 

Chini ya Tulia bunge litakuwa dhaifu kupita mabunge yote yaliyopita. Bunge sio kitengo cha ikulu , bunge ni mhimili unaowakilisha mawazo ya wananchi. Kama serikali imekosea bunge lazima lisimame kukosoa. Huyu atakuwa puppet was ikulu hakuna jipya. Ninachofurahia bunge hili wamejaa CCM , kama upinzani wangekuwepo angetafuta sifa kwa kuwaumiza upinzani hasa CHADEMA. I'll ionekane anafanya kazi.

Tunahitaji maspika Kama msekwa na sitta. Sio mtu anasema wazi sio lazima serikali ikubali ushauri was bunge.
 
Hakika Dr Tulia anazo sifa zote,Sina shaka na uwezo wake hata kidogo.Wana Mbeya mjini kwa mara ya kwanza mmepata mbunge anayetosha,kila la kheri kwake katika safari ya uspika.

Hana lolote ameingia kwa kubebwa na kina chalamila kwenye uchaguzi mkuu.
 
Yaani kama alishinda ubunge kwa kura halali ana HOJA vinginevyo ni VIROJA, Tulia hatotulia, atatapatapa, ka kiluwiluwi kilichokaukiwa maji kwenye dimbwi.

Alikuwa na kiherehere Sana kipindi cha mwendakuzimu, alimezwa na ulevi wa madaraka
 
Hana lolote ameingia kwa kubebwa na kina chalamila kwenye uchaguzi mkuu.

Kwa Chama Cha Mapinduzi kuchukua form ni danganya toto tu,wenyewe wamekwisha amua nani wanamtaka kuwa Spika. Niijuavyo ccm maadam Tulia amechukua form ya kugombea kuwa Spika basi ujue ameambiwa akachukue kwani sidhani kuwa yeye akiwa na wadhifa wa Naibu spika atakuwa mjinga kiasi cha kukurupuka tu na kwenda kuchukua hiyo form!
 
Tulia anafaa kuwa spika mimi na wajumbe wenzangu tutampigia kura
 


Yaani spika ambaye kaiba kura za Sugu! Mbeya wanajua Sugu alipata kura zaidi😂 maigizo kwelikweli ….. kazi iendelee bado sana nchi yetu kwenye demokrasia!
 
Betina ana tendencies za kujipendekeza kwa ule Mhimili. Wabunge wa CCM wanapaswa kumkataa na kuchagua mtu mwingine kabisa

Hii iwe case ya “the devil you don’t know might be better than the witch you already know”. Tulia ni dhaifu na atleast hilo wabunge wanalijua
 
Mbona hajuwi hata definition ya what is Democrasy.
 
Unajidhalilisha
 
Huyu mama hapati uspika. Kina roho mbaya na dharau kwa wabunge wenzake. Kula posho yake ila uspika hatumpi.
CCM ndiyo wanamtaka huyu kwasababu hii roho mbaya yake ndiyo mtaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…