HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

Haya sasa Corona imepiga Ikulu zote 2, Zanzibar na Magogoni...unamwambiaje "Mungu" wako Magufuli? Maana yeye anajiona Mungu, na baadhi yenu wapambe wake wajinga nanyi mnamwona "Mungu"
 
Kwa hiyo ni Tanzania tu ndo tunahujumiwa na kutishwa? Panua akili yako, COVID is real. Haijakupata tu ila usithubutu kukutwa.
 
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
Haya sasa Corona imepiga Ikulu zote 2, Zanzibar na Magogoni...unamwambiaje "Mungu" wako Magufuli? Maana yeye anajiona Mungu, na baadhi yenu wapambe wake wajinga nanyi mnamwona "Mungu"
 
Kwa hiyo mmerogwa na eazunguL? Akili za kutukuza watu zitawamaliza Mataga.
 
Yapo na mengine ambayo yanaweza kusemwa. Lakini vyovyote vile ilivyo, swali kubwa ni je hii ni bahati nasibu holela au ni bahati nasibu inayotokana na fikra za kisayansi.

Hapo tayari majibu ya bahati nasibu yameanza kulipa February 2021 tunaona misiba na vilio katika kila makundi ya kijamii bila ubaguzi.
 
Waleliokuwa mnaombea Corona sasa Mambo bam bam.
ACHA TUFE KWANZA.
Hata tukibaki kumi kama kipindi cha nabii nuhu
 
Waleliokuwa mnaombea Corona sasa Mambo bam bam.
ACHA TUFE KWANZA.
Hata tukibaki kumi kama kipindi cha nabii nuhu
Unamlaumu nani na sera zenu ndizo zinatuua? Huyo Mungu anawasikiliza tu hao unaosema walikuwa wanaombea Corona?
 
Binafsi yangu nnafurahi Sana watu wanavyokufa.
Sina cha kulaumu
ACHA ASILI ICHUKUE NAFASI YAKE.
TUKUTANE MAKABURINI
Unamlaumu nani na sera zenu ndizo zinatuua? Huyo Mungu anawasikiliza tu hao unaosema walikuwa wanaombea Corona?
 
Wale wasabato walimpa mpaka tuzo eti kaishinda corona! Sijui wana hali gani huko waliko!
 
Bahati nasibu imelipa au haijalipa?
 
Hapo tayari majibu ya bahati nasibu yameanza kulipa February 2021 tunaona misiba na vilio katika kila makundi ya kijamii bila ubaguzi.
Huu uzi wa tokea mwezi wa tano mwaka jana na katika kipindi chote hicho huu uzi haukuwa na wachangiaji hakukuwa na wa kuona kwamba hii bahati na sibu imefeli na kwamba kuna misiba na vilio, tukafanya hadi uchaguzi wote kwa pamoja bila tahadhari zozote.
 
Bahati nasibu imelipa au haijalipa?
Kuna wakati huu uzi ulikuwa hauna wachangiaji ni uzi wa tokea mwaka jana mwezi wa tano kipindi ambacho nchi jirani zinapambana na corona kikwelikweli. Lakini sisi tulifanya hadi mikutano ya kampeni bila tahadhari zozote na hakukuwa na mtu wa kuja kusema kuwa bahati na sibu haijalipa tulikuwa bize kushindanisha mgombea aliyejaza watu wengi.
 
Vipi Bahati Nasibu inalipa? Mtanzania 1 keshatangazwa kupoteza Maisha. Huyo ndiye aliyetangazwa, kuna kadhaa wengine wamezikwa kimya kimya.
Mnageuza maisha ya Watanzania kuwa Bahati Nasibu, ama kweli KUA UYAONE

Wale wazee wa bahati nasibu watupe mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…