HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

Sisi tulichangia huu uzi, labda ww ndio hukuchangia. Na isitoshe hakuna kiwango maalumu cha kuchangia uzi useme kuwa hakikufukiwa.
 
Ok, leo hii idadi ya wagonjwa na vifo iko dhahiri, je serikali inatangaza?
 
Taarifa rasmi anasema kuwa hakuna corona, sasa hapo ninasikiliza nini zaidi ya utapeli?
Ahaaa. Ulisikia alivyohojiwa na Bbc swahili? Alisema Tanzania ina muingiliano na mataifa mengi ni ngumu kusema hakuna Covid 19. Hivyo usimsingizie.
 
Sisi tulichangia huu uzi, labda ww ndio hukuchangia. Na isitoshe hakuna kiwango maalumu cha kuchangia uzi useme kuwa hakikufukiwa.
Mkuu huu uzi ulichangiwa mwanzoni ila kuna kipindi ulikuwa kimya kuna watu walijaribu kuufufua ila ulikosa wachangiaji ila sasa ndio ndio tunawaona na hii ni kutokana na kipindi hicho hakukuwa na hivi vifo ndio maana watu kama nyie mkaupotezea huu uzi.
 
Ok, leo hii idadi ya wagonjwa na vifo iko dhahiri, je serikali inatangaza?
Serikali iliacha kutangaza mwaka jana katika kipinfi ambacho takwimu zilikuwa zinaonesha maambukizi yanazidi ila sasa hivi kuna watu wanakiri corona ilipungu kuna muda na ndio maana tulifanya hadi uchaguzi bila hofu yeyote.
 
Humu ndani kuna nyuzi zina zaidi ya miaka 10, na inaendelea kuchangiwa kutokana na maudhui ya uzi husika. Hivyo hakuna ajabu yoyote kwenye uzi huu.
 
Humu ndani kuna nyuzi zina zaidi ya miaka 10, na inaendelea kuchangiwa kutokana na maudhui ya uzi husika. Hivyo hakuna ajabu yoyote kwenye uzi huu.
Upo sahihi kabisa,mwaka jana bahati na sibu ya Magufuli ililipa na ndio maana huu uzi ukapoa maana wengine walifikia kusema kwamba corona ndio itatumika kumtoa madarakani Magufuli kwenye uchaguzi wa mwaka jana kwa maana jinsi hali ya corona itakapokuja kuwa mbaya ila ndio kwanza Kwenye kampeni watu humu tulikuwa tunashindanisha mafuriko ya Magufuli na Lissu.

Na wengi wanasema mwaka jana corona ilipungua na sasa imerudi tena ambayo ni kali,kwahiyo bahati nasibu aliyokuwa anaizungumzia mleta mada ilishapita na ililipa kwa Magufuli.
 
Aisee Mwanakijiji
Bahati nasibu ya Magufuli imelipa sana. Kongole kwake na kwako brother 😷 😷🤣🤣
 
Iwe bahati nasibu au isiwe bahati nasibu! Huyu rais tuliye nae tunatakiwa tumpe ushirikiano maana ameonekana kupigania maslahi ya watanzania
 
Iwe bahati nasibu au isiwe bahati nasibu! Huyu rais tuliye nae tunatakiwa tumpe ushirikiano maana ameonekana kupigania maslahi ya watanzania
Aende kuzimu huko, halafu mwambie kuwa tunajua kuwa Kuna mlinzi wake mmoja Yuko hoi kwenye mpira. Mungu huwapiga wenye kiburi, acha anyooshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…