HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

Ndugu yangu unaweza sasa ku update hii post yako?
mlipuko ni mkubwa sana na Amiri Jeshi Mkuu kajificha Chato anataka watu waombe.
Is he not a MERCHANT OF DEATHS ?
 
Napenda kuwaasa watanzania kuwa ni muhimu kujiamini...Health System yetu inatarajiwa kuonesha resilience ya hali ya juu katika hili.tusimbeze Rais na vyombo vyake...tuendelee kuisupport serikali kukabiliana na janga hili
Ujinga huu ndo umetufanya tuwe wabangaizaji hadi sasa miaka 59 ya uhuru.yaani tupo kwa ajiri ya kuitumikia serikali badala ya serikali kututumikia sisi
 
Ujinga huu ndo umetufanya tuwe wabangaizaji hadi sasa miaka 59 ya uhuru.yaani tupo kwa ajiri ya kuitumikia serikali badala ya serikali kututumikia sisi
Hebu fafanua ulichoandika
 
Nieleze huko ilikoanzia kama iliwahi kulipa. Wapi ililipa - Uchina, Marekani, Italy ama Uingereza? Kama hauoni kinachofuata, subiri.
 
Ndugu yangu unaweza sasa ku update hii post yako?
mlipuko ni mkubwa sana na Amiri Jeshi Mkuu kajificha Chato anataka watu waombe.
Is he not a MERCHANT OF DEATHS ?
Usitafute kiki ya kisiasa kwenye Janga hili.
labda nikuuluze so far umechangia nini kigoma ujiji ili kuwalinda wapiga kura kwa janga hili?
 
Ina maana unataka wakenya ndio waitumikie Serikali
Dogo Serikali ndiyo yenye wajibu wa kuwatumikia raia,wananchi wake,sisi kazi yetu ni kuipa raslimali kwa maana ya pesa.Ni bahati mbaya nchi ina watu wengi wasiojielewa ndo maana magu anafokea watu anavyotaka. Kule US Trump ndo anafokewa na wananch na ndo maana halali ila huku bara la giza na watu wasiojitambua basi watu ndo wanaitumikia serikali ndo maana unaweza ona rais anapata ujasiri wa kwenda likizo wakati wa janga
 
Kwa hiyo watumishi wa Serikali ni majuha kuitumikia?
Kwa hiyo kama Trump anafokewa huko US ndio unaona ni jambo bora!!
Jitambue kwanza
 
Kwa hiyo watumishi wa Serikali ni majuha kuitumikia?
Kwa hiyo kama Trump anafokewa huko US ndio unaona ni jambo bora!!
Jitambue kwanza
Wewe juha watumishi wa umma wameajiriwa na serikali Ila hawaitumikii serikali bali umma ndo maana wanaitwa watumishi wa umma. Daktari haitibu serikali,Wala mwalimu haifundishi serikali etc.Any way pole sana
 
dunderhead kwa hiyo Serikali inatumikiwa na aliens?
 
Dah!...Mzee unajua sana kucheza na maneno.

Kwa hiyo tatizo sio vifo (maana ilitarajiwa vitakuwepo) ila ni kasi ya maambukizi na idadi ya wagonjwa watakaoishia ICU?.....Serious?

Haya bhana....maana nyie waandishi mlioamua kuchagua upande wa kuegemea, hamuishiwi maneno ya kuupamba.

Ngoja tuendelee kuchukua tahadhari za kujikinga huku tukifuatilia hii kamari waliocheza wakubwa tuone kama itawalipa.
 
Bahati nasibu haijalipa, watu watalipa gharama za bahati nasibu kwa thamani ya maisha yao. Lawama zitakwenda kwa wahusika bila kupepesa. Wameshindwa na Taifa limeshindwa.

Tulitahadharisha mapema sana. Corona ni novel virus hakuna anayejua Pathophyisology yake.

Tuliona tatizo, tulisema, Herd immunity itapatikana kwa gharama kubwa.
Italy, Iran, Spain wamelipa gharama hizo na bado hakuna uhakika kama herd immunity imepatikana kwani waliopona wana Test Positive.

Tulishindwa kutumia utaalam wa kawaida kabisa. Huwezi kufunga vyuo na Shule halafu wanafunzi hao hao ukawaacha wakusanyike misikitini na makanisani, it defies every logic.

Tatizo kubwa sana ni Corona inasimamiwa na Wanasiasa badala ya Wataalam.

Hao wanasiasa hawanonekani kujipanga, kila mtu anaamka na kusema lake,disorganization and chaos .

Vifo na maambukizi ni matokeo ya bahati nasibu. Serikali imeshindwa na Tanzania imefeli

Sayansi ni uhalisia si bahati nasibu. Mwezi May ni kupukutika tu kwa Raia! Tungeweza kuepusha hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…