Jaji Mwanga Giza mavi uharoMahakama ya TANZANIA inatia aibu
hakuwa hata na sababu ya kwenda shule. Afadhali angekuwa mkulima wa karafuu tu!Jaji Mwanga Giza mavi uharo
Mnamaliza mwaka kwenye uongozi wenu mkiwa mnasugua soli za viatu kwenye corridors za Mahakama. Daaadadeki, uongozi ni kitu kimoja na uwezo wa kuongoza ni kitu kingine.Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026.
Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa, haki za kikatiba zinazokosekana wakati wa mgogoro na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini kuishitaki bodi hiyo.
View attachment 3562278
Akizungumzia mipaka ya zuio lililowekwa na Mahakama kuu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza...
View attachment 3562279
Masikini!...Mnamaliza mwaka kwenye uongozi wenu mkiwa mnasugua soli za viatu kwenye corridors za Mahakama. Daaadadeki, uongozi ni kitu kimoja na uwezo wa kuongoza ni kitu kingine.
Uwezo wa kuongoza siyo sawa na matako ambayo hata Heche John anayo.
Tabia zilezile za ulaghai unaoanzia kwa Samia umeenea katika ngazi zote serikalini.Mahakama ya TANZANIA inatia aibu
Mfano mzuri ninaousema ni kama huu wa huyu nguruwe hapa.Mnamaliza mwaka kwenye uongozi wenu mkiwa mnasugua soli za viatu kwenye corridors za Mahakama. Daaadadeki, uongozi ni kitu kimoja na uwezo wa kuongoza ni kitu kingine.
Uwezo wa kuongoza siyo sawa na matako ambayo hata Heche John anayo.
Uwezo wa uongozi siyo sawa, hata wewe unayoMfano mzuri ninaousema ni kama huu wa huyu nguruwe hapa.
Hana lolote la maana la kuchangia ndani ya jukwaa hili. Ni mipasho tu isiyokuwa na maana yoyote.
Sasa huko kusugua sole za viatu kumemsaidia kitu gani Samia; wakati ndio kwanza anajizika kabisa kwenye uhalifu wa kutisha?