utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]