utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Je mo aliweka bil 20?Mbona hizi bilioni zinawauma kuliko wanasimba wenyewe???
Eeee ndugu yangu utopolo ukishajua itakusaidia nini
Hizo bil 20 nikwel mwamed ameweka au ndo hayatuhusuMbona hizi bilioni zinawauma kuliko wanasimba wenyewe???
Eeee ndugu yangu utopolo ukishajua itakusaidia nini
Binafsi nimeamua kuamn kua hakuweka bil20Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Mbona unakwepa swali? Bill 20 zimewekwa au hazijawekwa?Bilioni zishatumika mnahoji leo??
atakuomba ripoti ya matumiziBilioni zishatumika mnahoji leo??
Lazima tuwasaidie kuhoji ndugu zetu mbumbumbu maana akili zenu aliondoka nazo rageMbona hizi bilioni zinawauma kuliko wanasimba wenyewe???
Eeee ndugu yangu utopolo ukishajua itakusaidia nini
Kkabla sijakujibu ww unataka kujua kama nani? πMbona unakwepa swali? Bill 20 zimewekwa au hazijawekwa?
HAJAWEKA. TUKAANDAMANE.Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Alipohoji Kigwangala DUNDUKA mwenzenu mlimjibu?Bilioni zishatumika mnahoji leo??
Una jibu la zilipowekwa bil 20 au huna?Kkabla sijakujibu ww unataka kujua kama nani? π
Na nyie wenye akili mbili huwa mnahoji? π πLazima tuwasaidie kuhoji ndugu zetu mbumbumbu maana akili zenu aliondoka nazo rage
UKamuulize Try Again.. na uhakikishe una kadi ya Uanachama ya SimbaUna jibu la zilipowekwa bil 20 au huna?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja tusubili ndugu kigwangala atupe tarehe ya maandamano ya kwenda kumngoa huyu ponjoloHAJAWEKA. TUKAANDAMANE.
Try Again ni chawa wa Mwamedi hawezi toa majibu yanayoenda kinyume na bosi wake..UKamuulize Try Again.. na uhakikishe una kadi ya Uanachama ya Simba
Liko wazi ilo Mo aweke Hela hizi janja janja zake mara eti ooh naipeleka timu Dubai huku anashindwa kusajili wachezaji bora huu ni utapeliMimi Ni Simba damu.. MO ni mjanja Sana..