Hoja tatanishi: Hivi ni kweli Mo Dewji aliweka billion 20 Simba au hajaweka?

Hii safari ya Dubai uto imewavuruga sana [emoji23]
 
Alafu mkuu, Simba inapofanya safari zake za nje ya nchi inakodi ndege nzima, gharama zake unazijua ?? .. usitake kujisahaulisha kwamba licha ya kufanyia pre-season matombo, kwenye mechi yenu ya marudiano na Alhilal mlipanda pamoja na abiria wengine wa kawaida na mlisafiri kwa mafungu, bila shaka ungeanza kuhoji kuhusu hili ..
 
Umesikia kumbe safari ya Dubai imemaliza ela zote za usajili saivi unaambiwa timu ndio imemaliza usajili paka august dilisha lingine la usajili.. Hovyo sana huu uongozi
 
lile basi wame mwaga injini au service ndogo tu.
 
Hao wanasimba weny hisa 51 wameweka nn wao,had wadai hizo 49
 
Price to Earning Ratio iligoma Mkuu, ndio maana Mo hakutoa ile 20 bilioni.
 
Aliweka na hiyo pesa iloshatumika na imeisha!
 
Hv ungekuwa hata ni wewe ungeweka 20b. Yaan niache kudili na watu wachache niwakatie posho niende kimagumashi Nije niweke 20b? Hakuna nchi nyepesi kuuaga umasikini kama Tanzania Huwa nashangaa watu wanakimbia kubeba maboksi ulaya wakati fursa wameziacha Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…