Hoja:tuzo za jf mwaka2017/2018 ziazishwe

Hoja:tuzo za jf mwaka2017/2018 ziazishwe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa mwaka jana wadau walianzisha thread ya kutoa tuzo.na tuliwapata wana jf bora kwa kila category..kuna ongezeko la wana jf wengi tu wanaofanya vizuri maingizo mapya nawatambua wengine wapo active sana ila pumba mawazoni.kuna waliopata kama wakina bitoz,the boss,mshana na wengine wengi tuila walipata tuzo.na mwaka huu anzisheni
 
Back
Top Bottom