Hoja ya Kitila Mkumbo haiko sawa

Hoja ya Kitila Mkumbo haiko sawa

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Serikali ikae na kuangalia kwa umakini wazo la Prof. Kitila Mkumbo. Ajira zote zipite secretariate ya ajira full stop ili na watoto wa masikini wapate ajira. Zikipita huko vyuoni wataanza kuweka ndugu na jamaa.

Issue ya walimu TAMISEMI waisimamie tu kwani TSC haina huo uwezo watawekana ndugu. Pia Prof. kukaa mpaka wasijiweze sio hoja waliopo vyuoni wapambene wawe Maprof. Mimi naona hoja zake nyepesi, Serikali kupitia utumishi wasikurupuke.

Anataka kuturudisha nyuma.
 
Aah kwa tamisemi atasubiri sana labda madam kairuki atoke kwa hio wizara
 
Back
Top Bottom