hoja ya mapungufu ya website mpya ya elimu iliyo anzisHwa na aliyekuwa miss tz 2004

Zgerald95

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
235
Reaction score
59
Habari! Naitwa Zakaria Gerald
nasoma kidato cha sita
morogoro ...Binafsi nimefurahia
sana hii idea aliyoianzisha
aliyekuwa miss mwaka 2004
dada Faraja kwa kuwasaidia
wanafunzi wa kitanzania
kujisomea kwa njia ya mtandao
kuliko kupoteza mda mwingi
kwenye social networks kama
vile facebook ambazo kimsingi
hazimjengi mwanafunzi
kitaaluma..big up sana dada
yangu kwa hilo..ila kuna
mapungufu ambayo nimeyaona
wakati nilipo utembelea huu
mtandao ni kuwa hi tovuti ni
kama imewatenga wanafunzi
wa advance kwa sababu
kwenye registration pale
hamna option ya kujaza kidato
cha tano na sita inaishia
kidato cha nne that is first
Second notes na quiz
mbalimbali katika tovuti hii
zimeandaliwa katika mfumo wa
PDF lazima uu download ambao
unakuwa supported mara
nyingi katika computer simu za
mkononi nyingi tunazotumia
sisi st kayumba files za aina hii
zinakuwa unsapported na
wanafunzi wengi wa kitanzania
haswa tunaoishi mjini
tunatumia simu kupata
huduma ya internet hvyo ni
wanafunzi wachache ndo
watakofaidika na tovuti hii...3rd
website hii imekuwa designed
katika mfumo wa desktop view
peke yake hakuna mobile view
kitu ambacho kinamfanya
mtumiaje mlengwa ambaye ni
mwanafunzi anayetumia divice
za kawaida kama vile simu
asumbuke wakati ana browse
kwa sababu features ambazo
zinakuwa displayed ni nyingi
kuliko uwezo wa simu...
nimeshindwa kufikisha ujumbe
huu kwa wahusika moja moja
wa shuledirect.com ila naamini
kwa kupitia mtandao huu
maoni haya yatawafikia
wahusika..naomba myazingatie
haya tafadhari ili kuendeleza
mfumo wa elimu nchini
ahsanteni! Email yangu ni
zakariagerald@gmail.com au
una weza ukanifuata kwenye
ukurasa wangu wa twitter
Zgerald95
 
umewasilisha VIZURI. nadhani wahusika, ambao ni wasikivu sana, wataboresha na kuzingatia hali halisi ya WALENGWA ili kufanikisha lengo zuri kabisa la miss TZ 2004.
 
umewasilisha VIZURI. nadhani wahusika, ambao ni wasikivu sana, wataboresha na kuzingatia hali halisi ya WALENGWA ili kufanikisha lengo zuri kabisa la miss TZ 2004.

asante kaka pamoja we can
 
Safi sana Zakaria. Umewasilisha vyema hoja yako. Ni matumaini yangu kuwa kupitia JF basi wahusika wa tovuti watayapata maoni yako na watayafanyia kazi.. Hongera sana Zgerald95.
 
Last edited by a moderator:
hongera... ila jitatahidi kupanga maelezo yako ili ya eleweke kiurahisi sawa mkuu..
 
Safi sana Zakaria. Umewasilisha vyema hoja yako. Ni matumaini yangu kuwa kupitia JF basi wahusika wa tovuti watayapata maoni yako na watayafanyia kazi.. Hongera sana Zgerald95.

Asante kaka kwa pamoja tutaliendeleza gurudumu la elimu hapa nchini! Shukrani sana
 
Last edited by a moderator:
Mmoja wa wahusika wa website hii ni rafiki yangu! Kama hataiona huku, kesho nitamuwasilishia ili ajue cha kufanya! Safi sana Zakaria.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mmoja wa wahusika wa website hii ni rafiki yangu! Kama hataiona huku, kesho nitamuwasilishia ili ajue cha kufanya! Safi sana Zakaria.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ntashukuru sana kaka!
 
Amekuja na idea nzuri ila wengi waliojaribu kuingia website bado kabisa haijakaa vizuri, pdf zimekataa kuufunguka kwa wengine na wametumia computer, past pepa haziji,contacts hakuna hata ka fomu mtu akawaandikia, ukienda vipengele vingine ndio usiseme.

Hii ndio cheap labour lazima angetumia pesa kuwapa kazi webdesigners wenye kujua kazi ingekuwa super.

Nasikia na log in au kuregister haina mpangilia, hata pa kuregister na ukaweka password yako hakuna inauliza username tu.

Nimesikitika kusikia kuwa wengi wameshindwa kuitumia sasa sijui ni nani alimdizainia.

Aende kuongea nao waweke mambo sawa maana itasaidia sana watu.

Kweli angeenda hadi form 6 kama anavyodai kijana huyu.
 
Nadhani umekuja na hoja za msingi kuhusu udhaifu wa design ya website husika.

Ila hili la kudai kuwa website imeelekea zaidi kwa wale wenye desktop computers ukilingaisha na watumizi wa simu za mkononi, nadhani lazima uwe realistic kwa kweli.

Unajua wakati mwingine huwa hakuna compromise katika teknolojia, na you can't get what you think you deserve sabau teknolojia bado haija enda mbele vya kutosha hadi kukidhi haja zako.

Kwa hili inabidi ukubali na kwenda na hali halisi, mfano, huwezi ku-print documents kupitia simu ya mkononi, na kama una mfano wa website mbadala inayowezesha wanafunzi kufanya hayo unayoyataja kwenye madai yako, basi weka wazi.
 
By the way, vitabu vya karatasi bado ni muhimu aka relevant, na vitaendelea kuwa hivyo kwa miaka mingi ijayo. How about that for a reality check?
 

yah hata hayo unayoyasema yapo! Hizo ndizo changamoto za ulimwengu wa digitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…