Son Of Simon
Member
- Aug 27, 2025
- 7
- 4
Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana!Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho lake mwenyewe.
Leo hii Polepole kila alichokuwa anakiona kibaya kwake kimekuwa keki, ili mradi tu afitishe agenda yake binafsi dhidi ya mtoto wa Rais na Dkt. Samia Suluhu. Kwa mtazamo huo, anawafanya Watanzania kuonekana kama watoto wasio na akili ya kutofautisha mambo. Hata hivyo, je, Watanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa Museveni? Museveni mwenyewe aanze kwanza kwa kurekebisha kwake.
Vilevile, hoja ya Polepole kudai kwamba kupostiwa picha Ikulu kulikuwa na lengo la “kufumbua macho ya Watanzania” ni hoja isiyo na msingi. Ni jambo la kawaida kabisa, duniani kote, kwamba tukialikwa Ikulu, Kitengo cha Mawasiliano kitapost picha za tukio husika kwenye kurasa rasmi. Hakuna ajabu yoyote hapo.
Kwa mantiki hiyo, Polepole anapaswa kutafuta watoto wenzake awaimbie hizo ngonjera zake, si kuwadanganya Watanzania wenye uelewa.
View attachment 3465811
Mkuu, uelewa wako ni debatable!Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho lake mwenyewe.
Leo hii Polepole kila alichokuwa anakiona kibaya kwake kimekuwa keki, ili mradi tu afitishe agenda yake binafsi dhidi ya mtoto wa Rais na Dkt. Samia Suluhu. Kwa mtazamo huo, anawafanya Watanzania kuonekana kama watoto wasio na akili ya kutofautisha mambo. Hata hivyo, je, Watanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa Museveni? Museveni mwenyewe aanze kwanza kwa kurekebisha kwake.
Vilevile, hoja ya Polepole kudai kwamba kupostiwa picha Ikulu kulikuwa na lengo la “kufumbua macho ya Watanzania” ni hoja isiyo na msingi. Ni jambo la kawaida kabisa, duniani kote, kwamba tukialikwa Ikulu, Kitengo cha Mawasiliano kitapost picha za tukio husika kwenye kurasa rasmi. Hakuna ajabu yoyote hapo.
Kwa mantiki hiyo, Polepole anapaswa kutafuta watoto wenzake awaimbie hizo ngonjera zake, si kuwadanganya Watanzania wenye uelewa.
View attachment 3465811
Bila ya Pole pole kusema, baadhi yetu tulishajua Museveni alikuwa ana muumbua Samia, kwasababu hakukuwa na sababu ya kufanya vile.Vilevile, hoja ya Polepole kudai kwamba kupostiwa picha Ikulu kulikuwa na lengo la “kufumbua macho ya Watanzania” ni hoja isiyo na msingi. Ni jambo la kawaida kabisa, duniani kote, kwamba tukialikwa Ikulu, Kitengo cha Mawasiliano kitapost picha za tukio husika kwenye kurasa rasmi. Hakuna ajabu yoyote hapo.
Mzee hebu Nijuze nilipitwa na hii Museven alipost twit ipi !?Bila ya Pole pole kusema, baadhi yetu tulishajua Museveni alikuwa ana muumbua Samia, kwasababu hakukuwa na sababu ya kufanya vile.
Wengi walimfahamu Abdul baada ya ile tweet ya Museveni.
Polepole ni bingwa wa kuungaunga maneno na kuyapigia propaganda zake.Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho lake mwenyewe.
Leo hii Polepole kila alichokuwa anakiona kibaya kwake kimekuwa keki, ili mradi tu afitishe agenda yake binafsi dhidi ya mtoto wa Rais na Dkt. Samia Suluhu. Kwa mtazamo huo, anawafanya Watanzania kuonekana kama watoto wasio na akili ya kutofautisha mambo. Hata hivyo, je, Watanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa Museveni? Museveni mwenyewe aanze kwanza kwa kurekebisha kwake.
Vilevile, hoja ya Polepole kudai kwamba kupostiwa picha Ikulu kulikuwa na lengo la “kufumbua macho ya Watanzania” ni hoja isiyo na msingi. Ni jambo la kawaida kabisa, duniani kote, kwamba tukialikwa Ikulu, Kitengo cha Mawasiliano kitapost picha za tukio husika kwenye kurasa rasmi. Hakuna ajabu yoyote hapo.
Kwa mantiki hiyo, Polepole anapaswa kutafuta watoto wenzake awaimbie hizo ngonjera zake, si kuwadanganya Watanzania wenye uelewa.
View attachment 3465811
Hivi unaweza kutoka mbele ukasema CCM wanaogopa kelele za Polepole? Thibitisha.Hahahah!! JOINED 27-8-2025. Lumumba BUKU 7 kwa cku mtaipata kwa tabu MNO.
Kazi ni kipimo cha utu
Huwa kunapaswa ku-scrutinize picha za kupost na zipi hazipaswi kwenda public, a picture says a lot. Acheni kuyapaka rangi mavi, it’s not gonna give you the positive image.Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho lake mwenyewe.
Leo hii Polepole kila alichokuwa anakiona kibaya kwake kimekuwa keki, ili mradi tu afitishe agenda yake binafsi dhidi ya mtoto wa Rais na Dkt. Samia Suluhu. Kwa mtazamo huo, anawafanya Watanzania kuonekana kama watoto wasio na akili ya kutofautisha mambo. Hata hivyo, je, Watanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa Museveni? Museveni mwenyewe aanze kwanza kwa kurekebisha kwake.
Vilevile, hoja ya Polepole kudai kwamba kupostiwa picha Ikulu kulikuwa na lengo la “kufumbua macho ya Watanzania” ni hoja isiyo na msingi. Ni jambo la kawaida kabisa, duniani kote, kwamba tukialikwa Ikulu, Kitengo cha Mawasiliano kitapost picha za tukio husika kwenye kurasa rasmi. Hakuna ajabu yoyote hapo.
Kwa mantiki hiyo, Polepole anapaswa kutafuta watoto wenzake awaimbie hizo ngonjera zake, si kuwadanganya Watanzania wenye uelewa.
View attachment 3465811
Ni kweli kabisa, na hasa naona sasa ameishiwa na issues ndiyo analazimisha kuziunga unga na kushambulia watu binafsi.Polepole no bingwa wa kuungaunga maneno na kuyapigia propaganda zake.
Kwa namna ambayo hata kama ni kweli Abdul anafanya mabaya, ile kumshambulia kwa maneno ya kuungaunga nayo inatupa maswali kuliko majibu.
Kifupi Polepole anapigania madaraka. This is a power struggle. Mambo ya kupigia kelele uongozi ni geresha tu.
Hilo halimaanishi kuwa kila anachosema hakina maana na hakiwezi kutumika na Watanzania katika kampeni zao.
Ni Mfu sanaKama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho lake mwenyewe.