JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mwanamalundi.Hoja hiyo imetolewa Bungen na Mbunge Sophia Mwakagenda aliyeshauri majina ya mashujaa wa Tanzania yatumike mfano Mkwawa, Mwansansu au Mwakatumbula.
Hawa wabunge hovyo kabisaSerikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu tunaitangazia Dunia na si Tanzania pekee, tukimpa jina la Masanja hakuna atakayemjua.”
Hoja hiyo imetolewa Bungen na Mbunge Sophia Mwakagenda aliyeshauri majina ya mashujaa wa Tanzania yatumike mfano Mkwawa, Mwansansu au Mwakatumbula.
Hii nayo ni ya kujadiliwa Bungeni? SadSerikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa.