Kuna mtu alisema Spika 6 ni dikteta. Mimi nilisuport. Leo amesema taarifa ya Masilingi kesho. Dr. Slaha kawekewa kauzibe asiwasilishe hoja binfsi. Leo ameponda mamlaka ya mahakama, kesho atatoa tamko rasmi la Bunge. Pia ametetea ubabe wa Naibu Spika ni kwa ridhaa yake yeye Spika 6.