Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.